Ruka hadi maudhui
OpenXul
  1. OpenXul
  2. Kwa nafasi yako
  3. OpenXul kwa wazazi na walezi

Jua mtoto wako anaendeleaje

Matokeo, mahudhurio na ada kwenye programu ya wazazi. Habari za shule kwa SMS.

Changamoto mnazozijua

  • Ripoti zisizofika nyumbani
  • Kutojua salio la ada
  • Kupata habari za shule zikiwa zimechelewa
OpenXul kwa wazazi na walezi

OpenXul inavyokusaidia

  • Ripoti ya PDF

    Fungua ripoti yenye sahihi kwenye programu ya wazazi.

  • Mahudhurio na matokeo

    Ona mahudhurio na matokeo ya muhula ya kila mtoto.

  • Ada iko wazi

    Salio la ada, ankara na stakabadhi mahali pamoja.

  • Ujumbe kutoka shuleni

    Soma ujumbe wa shule na uwajibu watumishi.

  • SMS kwa kila simu

    Huna simu janja? Shule bado inakufikia kwa SMS.

Waambie shule yako kuhusu OpenXul

Ongea nasi WhatsApp